top of page

G-Community

Post, SHARE, DISCUSS & COMMENT

Groups.jpg

✦ SAFARI YA UHAI ✦ ☀️ Mabadiliko ya Kweli ☀️

Public·2 members

SHAIRI KWA MABINTI WA HOVYO👇

Na hizo tabia zako,

Usidhani ni siri yako,

Tunajua mambo yako,

Na leo tunakuchana.


Juzi uliiba unga,

Jana ulienda wanga,

Leo waenda kudanga,

Unahangaika sana.


Mchana waitwa Linah,

Usiku waitwa Mimah,

ree

Haukumbuki kupima,

Kweli umejaa lana.


Ukiitwa waitika,

Kila mtu akushika,

Si mvua si masika,

Unagawagawa sana.


Wataka mume wa mtu,

Sura yakujaa kutu,

Umejaa ukurutu,

Tafuta wakwako bwana.


Wenzio tunakuonya,

Kama unataka pona,

Badilika sana sana,

Utafanikiwa mbona.

5 Views
bottom of page