top of page

G-Community

Post, SHARE, DISCUSS & COMMENT

Groups.jpg

✦ SAFARI YA UHAI ✦ ☀️ Mabadiliko ya Kweli ☀️

Public·2 members

👽 THE BAD GIRLS 💔

ree

_EPISODE 2_


Me : Hey I'm here to pick a girl i bet anatumia phone yako at the moment ju yake imededi na sijui ni mgani


Saloon : Heey..ooh she's here by the way anakungoja just come in


Nikajipin pale ndani. Madem walikua wameiva manze.


"Hi😊"


Me : Heey


"I bet you are Vin.. you are here to pick me"


Me : Yeah Tara amenishow nikam hivo... let's move


Nikamfumgulia mlango ya dinga tukajipin ndani nikadrive. Huyu manzi alikua ameiva manze macho ilikua inapatana kwa front mirror kila mse anajipea shuguli😂💔.


"I'm Tina by the way"


Me : Call me Vin


Tin : I know


Me : Of course Tara alikushow


Tina : Yeap


Me : By the way unaweza nijenga number yako so that next time stuff kaa hii ikitokea nakuja kikupick


Tina : Actually ni vile phone iliisha moto na sikubeba charger😂💔.. that's why nimejipata kwa hii mess😂


Me : Sorry for that😂


Tukafika. Nikamfumgulia mlango nikamshika mkono in a romantic way nikamtoa nje😂. Tara alikua anamngoja hapo nje


Tara : Vin you are the best thanks sana


Me : You're welcome😂


Mvua ilikua imeanza kupunguka so ni drizzles tu. Nikaingia kwa hao. Hatujazoeana na Tara sana tho ni neighbor ju nimehamia hapa two months ago. Lakini kwa hio two months wale madem nimekula kwa hio keja wanapita those 60 days za hio miezi mbili kisubmarine 😂 💔. Kidogo hivi nikaskia loud music kwa ploti tho sijui ilikua inatoka kwa hao gani ju hii ploti imebaba tu wasee vichwa mbaya😂💔. Phone ikaring.


Me : Yooh Drew rada


Drew : Buda kwani ulidedi?.. nowadays huskiki manze


Me : Niko jooh nimekua busy na job mse


Drew : Kesho morning nitakujia hio lapy yako i have a project manze na lapy yangu imecrush jooh hadi haiwaki


Me : Wazi..so unadai kuishia nayo kwako ama utapigia hio project kwangu?


Drew : We mzee nimesema nakuja kuishia nayo siwezi uza lapy yako😂


Me : Sijasema unauza but nakujua we hukua careless unaweza tokwa😂


Drew : Ishia mse manze mi nakujia lapy😂


Nikachill pale kwa hao. Nikachomoka nikaishia kubuy supper nikarudi kwa hao. Nikapata ploti imejaa madem wameiva. Wengine walikua wanasmoke hapo kwa balcony na wengine kwa corridor wanakunywa drinks nikashindwa kwani kuna mse amededi hii ploti wanazika ama kiundercover ni nini inahappen hapa😂💔. Kuna hadi wengine walikua wamesimama kwa mlango yangu


REACT 🫵

9 Views
bottom of page