top of page

SOKOPLUS
(Service/ Business)

TZS
400000
Eshare
Morogoro, Tanzania
EPSON PRINTER L3250
Hii printer ipo katika hali nzuri ni aina ya Epson L3250 pia ina Wi-Fi connection (yaani sio lazima uunganishe waya katika chombo kilicho na faili ukiunganisha internet ina-print moja kwa moja) na imetumika miezi 3 tu inapatikana Morogoro mjini.
Follow/Contact Us:
bottom of page