_👽 THE BAD GIRLS 💔_
_EPISODE 3_

Kuna hadi wengine walikua wamesimama kwa mlango yangu
Me : Hey excuse.. kindly nadai kuingia kwa hao
"Ooh we're sorry 😂"
Wakasonga kando nikaingia kwa hao. Ploti ilikua imejaa kelele na loud music hadi nikaanza kushindwa what's happening here😂. Nikashuku there's a party but sasa sijui ni nani anahost. Nilikaa hadi late night hapo 11pm. Nikazima lights nikadoz. Nikaamshwa na mse aki knock mlango. Kufungua napata ni Tara
Me : Yooh
Tara : Can i?
Me : Yeah sure kuja ndani
Tara akaingia kwa hao na hizo haga zake akachill kwa couch
Tara : Uko poa.. nimerudi tena😂
Me : Yeah niko fiti😂
Tara : I need a favor Vin
Me : Yaaa?
Tara : I was throwing a party for the girlies na wakakuja wengi than i expected na some hawana mahali pa kudoz
Me : Ooh🤔
Tara : Soo..i was asking kama unaweza kubali some wacrush hapa for the night then waishie kesho.. please.. okay najua nimekusumbua sana leo Vin but aki sina otherwise...Jake hayuko wangedoz kwake
Me : Kwani Jake hayuko hii ploti?
Tara : Yeah maybe ako kwa manzi yake I don't know😂💔
Me : Manze that'll be hard..ju unajua hao madem wamelewa wananuka tei sijui smoke ya weed watakuja kutapika hapa
Tara : Wenye naleta hapa wako decent siwezi kuletea walevi kwa nyumba..wenye wamezima wamedoz kwa floor huko hadi hawajielewi
Me : Mbona haungenishow unathrow party manze
Tara : Aaah Vin surely😂.. ilikua strictly ladies only hakuna boy alikua
Me : Mbona?
Tara : Well, ni kama ladies night out..kitu kama hio..kuna mzinga imebaki by the way nakuletea
Me : Okay walete manze but next time inform me mapema jooh😂
Tara : Cool
Tara akakuja na Tina na madem wawili hapo na mzinga ya Jameson 🍾. Hao madem wote walikua wameiva sio mchezo ni mate tu ilikua inajaa mdomo😂💔.
Me : Finally we meet again😂
Tina : 😂😂😂
Tara : Okay Vin I'll leave you guys😂..mnaweza juana😂..guys this is Vin my handsome neighbor😂
Tara akatoka akaishia. Wakajirusha bed😂. Bed yangu ilikua 6×6 wakatoshea fiti hadi kukabaki na space ya mse moja. Nikachukua bedsheet nikatoka bedroom nikaishia kwa couch sitting room kudoz huko nikinyonya Jameson pole pole. Kiasi hivi dem moja akatoka bedroom .......
REACT 🫵

